Njia 5 za kusave/kuweka Akiba:
Njia 5 kusave/kuweka Akiba:
1.Punguza matumizi.
punguz kias cha kununua bando la king'amuz kwa kununua cha bei nafuu, Jibane kwenye matumizi ya umeme, vocha nk.
2.Nunua vyakula kwa jumla.
Nunua vyakula kwenye maduka ya jumla ili kuepuka kile kias cha juu ambacho maduka ya rejareja huongeza.
3.Fanya vitu mwenyewe.
Vishughuli vidogo vidogo haina haja ya kumwita fundi, unaweza kufanya mwenyewe na kusevu ile hela ya kumlipa fundi.
4.Punguza kula hotelini na Bar.
Kama unafanya kazi mbali na kwako waweza kuwa unabeba chakula ili kusev gharama za kula kwa mama ntilie.
5.Ongeza Kipato.
ili kuongeza kipato unaweza kuongeza Elimu yako, kuchukua mkopo na kuanzisha biashara ya pembeni au kupanua zaidi biashara yako uliyonayo.
See You at The Top.
#Pambana Kuijenga Kesho Yako
#Timizamalengoyako
written by: @John Kiwovele - 0766-848616
Asante sana kwa mashauri mengi sana Nami nimekuwa milionere kwa elo asante
ReplyDelete